Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Mmhh,

Kaka, mbona mafundi wa subaru wapo wengi tu .?

Na ukizingatia sasa hivi, zimeingia kwa wingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa naona hajui kabisa mambo ya magari toka lini subaru haina mafundi wa kuitengeza pia spare parts za subaru zipo nyingi kuanzia Dar hadi arusha zipo kibao tu..
Subaru,Nissan,honda,Suzuki,Mitsubishi hawana spare za kubahatisha kama TOYOTA
 
Kwakweli ,

Nahisi huwenda bado anamawazo/mtazamo wa kale kuhusu brand za magari nje ya Toyota.

Maana zamani, watu walikua na mtazamo, gari ni moja tu 'Toyota' nje ya Toyota hakuna gari.

Wakitumia vigezo vya namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa naona hajui kabisa mambo ya magari toka lini subaru haina mafundi wa kuitengeza pia spare parts za subaru zipo nyingi kuanzia Dar hadi arusha zipo kibao tu..
Subaru,Nissan,honda,Suzuki,Mitsubishi hawana spare za kubahatisha kama TOYOTA
Subaru forester ya mwaka 2008(3 generation) ina HP ngapi boss?
Kwa yenye turbo na isiyokuwa na turbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subaru forester ya mwaka 2008(3 generation) ina HP ngapi boss?
Kwa yenye turbo na isiyokuwa na turbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.
Isipokuwa haya matoleo ya 08,09 na 10 yameongeza ukubwa wa ndani ni comfortable na imenyanyuliwa juu ili kukidhi soko la ulaya na marekani....

Kwangu mimi nayazimia sana matoleo ya zamani kuliko hili la kwenye picha
Screenshot_2019-04-10-10-09-57.png
 
Asante mkuu,, ila bado hujanambia Ina Horse power ngapi?
Kwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.
Isipokuwa haya matoleo ya 08,09 na 10 yameongeza ukubwa wa ndani ni comfortable na imenyanyuliwa juu ili kukidhi soko la ulaya na marekani....

Kwangu mimi nayazimia sana matoleo ya zamani kuliko hili la kwenye pichaView attachment 1067420

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Kuna jamaa wako biafra pale wazuri
 
Kwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.
Isipokuwa haya matoleo ya 08,09 na 10 yameongeza ukubwa wa ndani ni comfortable na imenyanyuliwa juu ili kukidhi soko la ulaya na marekani....

Kwangu mimi nayazimia sana matoleo ya zamani kuliko hili la kwenye pichaView attachment 1067420
Huyu mnyama ni hatari nimewai kum drive ukikanyaga mafuta kidogo tu kama inataka kupaaa kiufupi wale wanaopenda ma mbio hii ndio yenyewe inakimbia kama mkuki
 
Mkuu hivi hiyo forester third generation ina HP ngapi kiongozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru forester, ya 2006/8

Ina around 270BHP

Bei yake ni kati ya 18.5m n.k

Unaweza kuagiza kupitia kampuni yetu kutoka kampuni yeyote ile uipendayo
kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7

Unalipia, 13,875,000
Gari inaletwa, unakabidhiwa
4,625,000 unamalizia kwa instalment
Yaani kila mwezi
661,000

Bila riba.

Instalment zinaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari lako.

Karibu
 
Boss asante sana ila kununua bado sana kiongozi ila tutafutana tu,,,nimeuliza kujua maana hiyo ndo gari ninayoitamani kuwa ya kwanza kuimiliki
Subaru forester, ya 2006/8

Ina around 270BHP

Bei yake ni kati ya 18.5m n.k

Unaweza kuagiza kupitia kampuni yetu kutoka kampuni yeyote ile uipendayo
kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7

Unalipia, 13,875,000
Gari inaletwa, unakabidhiwa
4,625,000 unamalizia kwa instalment
Yaani kila mwezi
661,000

Bila riba.

Instalment zinaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari lako.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua harrier matako ya nyani hayo magari mengine ni ya kibishoo hayawezi njia za vumbi
Subaru , haswa forester hii, inasifa moja ya kuhimili sana haswa njia za vumbi na off road.
Ipo kwenye orodha ya gari tano zinazohimili off road ikiwemo surf (Toyota)
 
Subaru anahofia wese matako ya nyani umeme mwingi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom