Njoo nikuuzie s7 edge 450 tu haina punguzo la bei...Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kaka ndo unayotumia inamda gani tangu utumie vipi battery life yake sifa zingine najua ipo more powerful & beauty design.
C7 and C7 pro pia C9 pro zinatunza sanaHabari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera
Sent using Jamii Forums mobile app
S6 edge + ni nzuri hata s7 pia ni nzuri hamna samsung mbaya kila moja ni nzuri kwa price yake.Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera
Sent using Jamii Forums mobile app
ssmsung j6+Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mwisho wa matatizo asee...Samsung A9 pro ni nzuri sana kwa kutunza chaji,ila kwa Budget yako hiyo utaishia kuiona kwa macho tu.