Msaada wa simu " nokia " | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa simu " nokia "

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Raphael9, Oct 5, 2012.

 1. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nahitaji simu y nokia inayofungua net faster n iliyopo katika soko kwa sasa plz na bei yake kiujumla..nawasilisha
   
 2. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ungetaja na kiasi cha fedha ulichonacho
   
 3. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama lak 1 hv
   
 4. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Ongeza 50,000 uchukue nokia X2. Ni nzuri.
   
 5. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imekaaje hyo jomba iko poa sana eeh
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,808
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa laki 1 bora utafute nokia asha series

  kuna asha 200 inauzwa shilingi elfu 75 na vodacom lakini haingii watsapp

  ni vizuri ukatembelea ofisi za mitandao utapata simu kwa bei rahisi na warranty ya uhakika kwa bei hio
   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hiyo iko dizain hii
  [​IMG]
  nimetumia hii sim 4 abt 9months kabla sijanunua smart4ne na naweza kwambia kama hautaki kuingia kwenye smart4ne(nakushauri uje huku) which ain't dat xpensive just 180K unapata descent samsung galaxy pocket size. Ila kama sivyo hii sim ni nzuri sana, internet ya kasi sana(nadiriki kusema almost as 3G) internal memo c kubwa but ina hold upto 16GB memory card ambayo unaichomeka kwenye ubapa wa sim sio must uizime (which i hate), camera yake ni zaidi ya maelezo very good. QWERTY keybrd as u can see. Email, watsup instant msgs ni some of other bonus features.Kiujumla ni 4ne nzuri mara ya mwisho ilikua 130K kwa sasa sijui vp
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,808
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Ila hii ni simu yatima haipo supported asha zimezinduliwa na app 25,000 sasa hivi zipo aproximated zaidi ya 40,000 (s60v3 inazo hizi) ukijumlisha na hii xpress web app builder mpaka mwaka ukiisha zitafika laki 1 naona.

  After miaka kadhaa asha huenda ikawa ndo platform yenye app nyingi kuliko android.

  So ni bora kuenda asha kuliko x2
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  chief tatizo ni hela, sim nzuri kwa bei ya mkuu hapo ni X2, just 120K-130K unapata brand new
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,808
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Sjui niite tamaa za wafanya biashara wa tz sjui niiteje lakini nokia asha zinaanza dola 39 ambayo ni kma 65,000 ndo nokia wanavouza na asha za touch screen ni dola 99 sawa na 160,000 so hio ndo bei.

  Ndo mana nashauri watu waende wakanunue kwenye mitandao voda nimeona wanauza 75,000 atleast wameeka faida 10,000 tu

  Kuuza simu ya 65,000 kwa laki na 80 huu ni wizi
   
 11. N

  Nyasiro Verified User

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  I hate QWERTY
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Agreed
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hupendi kwenda na wakati kaka
   
Loading...