Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
habari wakuu
nina mdogo wangu anataka kurisit mtihani wa kidato cha nne
natafuta pahara pa kumuweka naomba kama kuna mtu anafahamu shule inayopokea risiters anidokeze
ni vizuri ikiwa mikoa ya Singida, Manyara, Arusha au Kilimanjaro
ahsanteni