Msaada wa sehemu ya kuprint vitabu

Chief Editor

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2019
Messages
363
Points
1,000

Chief Editor

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2019
363 1,000
Habari wanajukwaa
Nina soft copy ya vitabu kadhaa vya taaluma yangu naomba kuuliza sehemu ambayo naweza print baadhi ya hivyo vitabu niwe na hard copy na gharama yake pia kwa Dsm....Nawasilisha kwa msaada
Kila mchapishaji ana uga wake maalumu kwa mfano mkuki na nyota pale posta wanafanya sana vitabu vya sheria na vya kiada (vinavyotumika mashuleni)
Kama ni vya kidini yapo mashirika bobezi katika uga huo
Ila kama wewe ni mwanafunzi hususan wa chuo tumia walimu kujua wao huchapa wap.
Kwa mfano udsm ilikuwepo dar es salaam university press (DUP) na pia Taasisi ya taaluma za kiswahili (TATAKI) inayochapisha vitabu kwa mwamvuli wa TUKI
 
chibi

Senior Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
197
Points
195

chibi

Senior Member
Joined Mar 21, 2013
197 195
Kila mchapishaji ana uga wake maalumu kwa mfano mkuki na nyota pale posta wanafanya sana vitabu vya sheria na vya kiada (vinavyotumika mashuleni)
Kama ni vya kidini yapo mashirika bobezi katika uga huo
Ila kama wewe ni mwanafunzi hususan wa chuo tumia walimu kujua wao huchapa wap.
Kwa mfano udsm ilikuwepo dar es salaam university press (DUP) na pia Taasisi ya taaluma za kiswahili (TATAKI) inayochapisha vitabu kwa mwamvuli wa TUKI
[/QUOTE
Shukrani mkuu....mm nasoma Moro ila kwa sasa nipo Dsm likizo....so kama unafahamu kwa Dsm kwa vitab vya namna hiyo
 
Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,909
Top