Msaada Wa Security Code Nokia X3-02

Msaada Wa Security Code Nokia X3-02

Dannycage

Senior Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
104
Reaction score
36
Habari Wanajamii wenzangu,naombeni msaada wa security code Nokia X3-02,nimejaribu kuweka default ya 12345 ila imekataa na simu yenyewe ni mpya,msaada tafadhali.
 
Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu?
Yangu imepotea karibuni na nina RB
 
Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu?
Yangu imepotea karibuni na nina RB

Itakuwa ni yako tu. Ifanye kama sadaka na umpatie mwenzio hiyo code, Mungu atakulipa nyengine inshallah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom