Msaada wa SD card compatibility

ton11

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
110
Reaction score
150
Nataka kutumia sd card kwenye radio iliyokuja na gari (original) lakini nikiinsert napata mesage kuwa sd card haiko compatible na hiyo radio nataka kujua hizi sd card ziko tofauti tofauti? Mbona nikiweka kwenye slot yake inaingia vizuri tu kwa nini haisomi? Model ya hiyo radio ni NHZT-W58 naomba msaada kwa mdau mwenye ufahamu wa hili.
 

Gb ngapi?
 
Format sd card kwenda Fat32. Hio format ni ya zamani inakubali karibia vifaa vyote.

Tafuta pc download Rufus format fat32 jaribu tena

Asante nitajaribu ntatoa mrejesho
 
Sijafanikiwa bado bro

Nimeamua kutumia mfumo wa zamani wa cd rom nimeburn cd na kuingiza faili zote japo haiingizi zote kwa kuwa size yake ni ndo (700mb) hivyo inanibidi niwe na cd nyingi kuwexa kuburn zote karibu 16gb but naendelea kutafuta solution mwenye kuweza anaweza kunisaidia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…