wakati unaleta mrejesho huko huko ukajifunze kuandika vizuri
Jinga kabisa watu wa uandishi huu sitoi msaada wachafuzi wakubwa wa uandishi wa lugha ya kiswahili
solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network