hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,952 Reaction score 9,834 Nov 4, 2013 #1 wakuu leo nilikuwa mitaa ya mtaa wa congo.. nimekuta samsung tab 2 kibao kwa bei ya mpaka elf 80 naomba kujua hizi simu ni orignal kweli?
wakuu leo nilikuwa mitaa ya mtaa wa congo.. nimekuta samsung tab 2 kibao kwa bei ya mpaka elf 80 naomba kujua hizi simu ni orignal kweli?
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Nov 6, 2013 #2 Original hupati chini ya laki 5. Hizo ni za Xien Jiepin!