Naomba wataalam wa vitu hivi mnisaidie sabufa gani ni nzuri quality ina equilizer, base yani vile vitu vyote vizuri, niliwahi kuuliza humu sikupata majibu mazuri nimeenda kununua latech yani likubwaaa zuri la sura sh 170,000. Halina sauti halina equilizer, hamna bluetooth yani hovyo kabisa afu kuna siku spika hazitoi sauti kuna siku zinatoa yani hovyo, nisaidie anayejua nzuri