mwenye link au mwenye nayo naomba anipatie jamani, window yangu inaleta ujumbe kuwa its not guinine, so i just want to remove it ( kuifanya iwe genuine)
shukrani sana
natumia window 7 mkuuWindows gani ??
Kwa siku nyengine ukiitaji kitu fuata hizi hatua
​Au tumia serach box hapo juu
- ​Fungua google.com
- Kisha andika: site:jamiiforums.com windows 7 loader
- ​Ukifanikiwa au kama hujafanikiwa lete feedback. KARIBU
natumia window 7 mkuu
mwenye link au mwenye nayo naomba anipatie jamani, window yangu inaleta ujumbe kuwa its not guinine, so i just want to remove it ( kuifanya iwe genuine)
shukrani sana
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us