Mkuu nataka nijifunze kupitia youtube na nimeshafanya kwa program mbalimbali sahivi nataka nijifunze video editing tafadhari msaada wa hizo softwaremkuu elimu ni bora zaidi kuliko hizo software, na kuwa na software zote hakukufanyi uwe editor mzuri wa video.
Uwezo wako wa kuedit video ni upi?
ingia hapaMkuu nataka nijifunze kupitia youtube na nimeshafanya kwa program mbalimbali sahivi nataka nijifunze video editing tafadhari msaada wa hizo software
Asante mkuu bado sijajipanga kununua apple laptopsAdobe Premiere Pro cs6, cc -, Cyberlink Power Director 15, Pinnacle Studio 18,19.5,20,Sony Vegas 13 Platinum. Cyberlink & Pinnacle ni rahisi zaidi hata kwa begginers.Pia unaweza kuzipata Extratorrent.cc kwa MAC kuna Final Cut Pro. Software pekee haitoshi PC zenye Core i5, i7 pia ni vizuri ukazingatia ili Video iwe nzuri. Kama bajeti inaruhusu PC za Apple ni bora zaidi.