Msaada wa programs za kuandalia notes na mitihani mathematics

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Ndugu Habari za asubuhi? kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ninaomba mnisaidie kupata programs za kuandalia mitihani na notes za somo la hisabati. Huwa ninapata shida sana katika maandalizi ya notes haswa kuweka michoro kama relation, numberline, function, statistics na nyinginezo.

Kama unayo au unielekeze namna ya kuzipata ntashukuru sana. Huwa najiuliza wanaoandaa vitabu wanaitumia nini sipati majibu, naomba mnisaide ili niweze kufunguka.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kama upo mbeya nenda Chuo cha MUST mtafute ass.lecture known as SUWI anazo hana noma atakusaidia tu.
 
Ndugu Habari za asubuhi? kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ninaomba mnisaidie kupata programs za kuandalia mitihani na notes za somo la hisabati. Huwa ninapata shida sana katika maandalizi ya notes haswa kuweka michoro kama relation, numberline, function, statistics na nyinginezo.

Kama unayo au unielekeze namna ya kuzipata ntashukuru sana. Huwa najiuliza wanaoandaa vitabu wanaitumia nini sipati majibu, naomba mnisaide ili niweze kufunguka.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ingia tu youtube utapata hayo maarifa yote.
 
Back
Top Bottom