Wadau nimejaribu ku execute "AT commands" chache kama vile AT (on HyperText Terminal) kwenye GSM modem (Huawei) za hapa home tz naona zinagoma kabisa. Nikitumia modem za nchi nyingine zinapiga kazi vizuri tuu.
Kuna mwenye wazo lolote juu ya hili tatizo? Au modem wanazoleta hapa kwetu zina support AT Commands chache tuu?
Pamoja.
Kuna mwenye wazo lolote juu ya hili tatizo? Au modem wanazoleta hapa kwetu zina support AT Commands chache tuu?
Pamoja.