Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue power bank yenye capacity ya 5200 naicharge kwenye umeme kwa mda gani ijae. Nsaidien wenye kujua

Out put 5v. In put 4.8
Nakuandikia kila kitu Chenye kimeandikwa iko hivi tecno model PB 52A, capacity 5200MAH. Inputc 4.8-5.4v max 1.5A , output 5v-...1A.
Kwa anayejua amsaidie basi sio kumzingua kama hujui si uupotezee tu huu Uzi