Wakuu wa jukwaa hilı natumaini wote ni wazima
ndugu zangu naombeni mwenye pincode za sonyericsson w715 anisaidıe,sımu nimeletewa kutoka Norway..
Nawasılısha.

<b>pincode</b> ya <b>line yako </b>au <b><font color="#ff0000">security code</font></b> ya <font color="#ff0000"><b>simu</b></font>? default SonyEricsson security code ni '0000', jaribu hiyo kama haukuibadilisha mwanzo..
<font color="#4b0082"><span style="font-family: century gothic">Mkuu inawezekana pia ikawa locked kwa mtandao fulani wa huko ilikotoka, so utahitaji kui unlock.<br />
kama vipi muulize vizuri aliekutumia</span></font>
Mkuu mimi sio mtaalamu wa hii maneno lakini try to google how to unlock sonny ericsson w715, kisha tembela link mbali mbali unaweza kupata solution kabla ya kuwapelekea mafundi