Msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi

mwambie uchaguzi ni wake asome au afanye mtaji ada! achague kati ya hivyo ila kama kuna kampuni ya nyumbani mwambie akasome.
 
Habari wakuu,

Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo
1. BSc.Land management and valuation-Ardhi University
2.BA.Economics-Aru or Udsm
3.BSc.accounting and finance
4.Road and railway in logistics(Shipping operational road and railway in logistics)-NIT

Nb;dogo naona anaprefer zaidi course namba 1&4.

Kwahiyo naomba maoni yenu kijumla juu ya hizo koz wakuu

Nawasilisha
Kwanza advance kasoma masomo gani
 
Back
Top Bottom