Kuna maelezo ya muhimu sana bado yanahitajika ili uweze kusaidiwa....nini kilikusababisha u install windows upya? Cd unayotumia ni original? hazina scratch? zinafanana keys? na kwa nini iishia kati wakati unaformat mara ya kwanza....ulizima? ilizima yenyewe? iligoma tu kuendelea? ilileta error gani kabla ya kugoma kuendelea?nilikuwa na install windows xp service pack 3 kwa kutumia cd ikaishia kati sasa kila nikiwasha inasema insert to continue installation niweka inagomea palepale nimejaribu cd zngne bado inakataa plz anayeweza anijuze
Nilikuwa nina upgrade from service pack 2 to service 3 actually cd sio original na ili stack yenyewe tu wala siku zimaKuna maelezo ya muhimu sana bado yanahitajika ili uweze kusaidiwa....nini kilikusababisha u install windows upya? Cd unayotumia ni original? hazina scratch? zinafanana keys? na kwa nini iishia kati wakati unaformat mara ya kwanza....ulizima? ilizima yenyewe? iligoma tu kuendelea? ilileta error gani kabla ya kugoma kuendelea?
toa maelezo ya kutosha mkuu ili usaidiwe...la sivyo unaweza pewa ARV badala ya panadol!!