Msaada wa PC imekataa kusoma Files

Msaada wa PC imekataa kusoma Files

dog 1

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
301
Reaction score
840
Ndugu zangu wana JF kwanza poleni kwa matatizo yaliyolikumba taifa letu, tuzidi kuomba uzima kwa kiongozi wetu.
PC yangu (Laptop Hp) imekataa kucheza video na hata mp3. Player za VLC na Windos Media Player zote hazichezi. Nikiangalia attribute ya files kwenye format yanaonekana ni "jpg" wakati ni mp4 na mengine ni mp3.
Ni tatizo gani hili wakuu na nifanye nini kuliondoa?
 
Tumia program inaitwa unassoc...we jst google for unassoc.exe, ni kiprogram kidogo sana hakifiki hata 1mb
 
Tumia program inaitwa unassoc...we jst google for unassoc.exe, ni kiprogram kidogo sana hakifiki hata 1mb
ehee nikisha download na kurun (install) nifanye nini mkuu?
 
Kama mafile yalikuwa mp4 na mp3 halafu yakageuka kuwa jpg yenyewe itakuwa kuna virus kwenye computer yako na unavyozidi kuyaclick ndo anazidi kusambaa, lakini kama kweli una uhakika ni video au audio jaribu kufungua player yako mf. VLC halafu nenda Media>Open File uliselect hilo file, ikikubali hapo basi ni video/audio inachobidi urename extension ya hilo file.
 
Back
Top Bottom