Watu mnasoma kwa raha sana,
Kipindi kile wenzako tupo advance simu unawasha mara moja kwa miezi kadhaa ,
Akili inawaza misuli tuu, fruuuu madensa na vitabu, kipindi hicho hata habari za soft copy hatukuwahi kujua kama kuna softcopy ..
Dah miaka hii mkuu form six unataka soft copy
Sent using
Jamii Forums mobile app