Msaada wa passowrd

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26
JAMANI UKIONA MTU MZIMA ANALIA UJUE KNAJAMBO.

NILI UPDATE EMAIL PASSWORD YANGU YA YAHOO.
LAKINI NIMEISAHAU NA MASWALI NLYOJIB KIPINDI NAJIUNGA NLSHAYASAHAU. Mwenye kjua namna ya kunsaidia nipo wazi kwa 0763 059747
 
Kama na security questions umesahau............sahau na hiyo E-Mail aisee.....lakini kama wakati unafungua na uliweka namba yako ya cm, then kosea kwanza afu nenda forgot my pw, then fuata maelekezo na uweke option ya phn, then suburi watakutumia, lakini kama hukuwa na cm wakatai unafungua, na haukuiweka mazee....nakushauri fungua acc iingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom