Msaada Wa Parse Error

nassymuller

Member
Jun 2, 2015
30
8
Natumia Lenovo k4 Note Vibe.....Nilikuwa Na Update GbWhatsapp Kutoka v6.00 ad V6.10 ila Baada ya KudownLoad Inagoma Ku Install Inaniambia Parse Error
0b1b1aa9fd5fa31b2db201e13cf553f5.jpg
 
Hyo apk uliyodownload haipo complete ndio mana inagoma kuinstall download tena na hakikisha apk yako ina Mb 30+
 
5795dc955139dbca9a09fdd76624f0b8.jpg

Yan Zotee izoo Nimedownload Lkn Zimegoma
Kuanzia WhatsApp Plus,GbWhatsapp, na YoWhatsapp Imekataa Piaa
 
5795dc955139dbca9a09fdd76624f0b8.jpg

Yan Zotee izoo Nimedownload Lkn Zimegoma
Kuanzia WhatsApp Plus,GbWhatsapp, na YoWhatsapp Imekataa Piaa
Pengine hiyo Lastest Version Uliyoidownload Haikubali kwenye simu yako Mkuu Nimeangalia Sabbu Zoote ambazo ndugu wamesema Ni za kweli na kukupa solution lkn bado so pngine hiyo updates sio compatible na device yako, hiyo Lenovo ina tumia Version Ipi ya Android mkuu
 
5795dc955139dbca9a09fdd76624f0b8.jpg

Yan Zotee izoo Nimedownload Lkn Zimegoma
Kuanzia WhatsApp Plus,GbWhatsapp, na YoWhatsapp Imekataa Piaa
Memory yako imebe infected.that why inaharibu hzo downloaded apps.hats ukijaribu audio utaaona.
My sugg. Ni kubackup vitu vyako.na kuformat au kufactoryreset CMU nzma
 
Pengine hiyo Lastest Version Uliyoidownload Haikubali kwenye simu yako Mkuu Nimeangalia Sabbu Zoote ambazo ndugu wamesema Ni za kweli na kukupa solution lkn bado so pngine hiyo updates sio compatible na device yako, hiyo Lenovo ina tumia Version Ipi ya Android mkuu
8adf6b1187d3d45b4e64fe2f3fe4fa28.jpg

Mkuu Device Yang Iyoo Apooo
 
Memory yako imebe infected.that why inaharibu hzo downloaded apps.hats ukijaribu audio utaaona.
My sugg. Ni kubackup vitu vyako.na kuformat au kufactoryreset CMU nzma
Wala ataa....Haija Be Affected Coz nyimbo Na Download Daily Ata Leo....Na Zinacheza Fresh tu
 
8adf6b1187d3d45b4e64fe2f3fe4fa28.jpg

Mkuu Device Yang Iyoo Apooo

Okay Mkuu Bac Angalia Specification Za Iyo App je Hiyo updates yake inaingiaa Kwenye Marshmalow, Ila mi sidhani kma Itakataa Ingwa Sabbu zinaweza Zikawa nyingi, Bac Fanya Hivi Futa hiyo App na kila Related file ya hiyo Wasap zeni download Upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom