Msaada wa nyimbo hizi tafadhali

Msaada wa nyimbo hizi tafadhali

Mkuu ongezea na 1. Amioh- Nayanka Bell 2. Angelina-Caiphus Semenya 3. Everybody sing along-Letta Mbullu 4. ABC- Chris Okotie 5. I love you Africa-Steve Kekana 6. Sweet mama-Pat Shange 7. Shikisha-Sipho Hotstix Mabuse 8. Ekwe-Onyeka Onwenu 9. Take my love its free-Yvonne Chakachaka 10. Jabulani-PJ Powers.
 
Condry Ziqubu
1. IKATI
2.NO WOMAN NO PARTY

PAT SHANGE.
1. I AM NOT A CASSANOVA
2. I surrender (anytime BABY)

SIPHO MABUSE
1.BURN OUT
2.ZANZIBAR

WALLY BADAROU
1. HI -LIFE
2. SHE IS HOT - (Allito featuring Wally BADAROU)
3.Hi Life- (Paul ''Groucho'' Smykle Remix)

Kamata hizo kwanza ukizipenda nicheki nitakuongezea collection
Midundo ya wimbo wa "Hi-Life" wa Wally Badarou ndiyo imetumiwa na mwanamuziki J Martins wa Nigeria katika wimbo wake wa "Iva" uliotoka miaka kama minne hivi iliyopita.
 
Huo wimbo wa Zanzibar niliutafuta sana sikuupata kutokana na kutojua muimbaji ila nw ndio nausikiliza hapa asante mkuu"
Kwa nyongeza tu ni kwamba huo wimbo Zanzibar uliimbwa na Sipho Hotstix Mabuse akiwa na kundi lililojulikana kwa jina la "HARARI".
 
mkuu nimekubali, dah! ni shida aisee yaani hizi ndio haswa nazitaka hebu weka maujanja mengine maana naona na wadau wengine wameelewa collection yako

1. MAHLATHINI AND MAHOTELLA QUEENS.
- Kazet
2: OLIVER N'GOMA
- Lusa
- Adia
- Icole
- Muetse'
- Bane
- Fely
3: SAM FAN THOMAS
- African Typic collection
- Hello hello ( Somo Somo ngobila)

Nikitulia nitapost tena
mkuu nimekubali, dah! ni shida aisee yaani hizi ndio haswa nazitaka hebu weka maujanja mengine maana naona na wadau wengine wameelewa collection yako
 
1. MAHLATHINI AND MAHOTELLA QUEENS.
- Kazet
2: OLIVER N'GOMA
- Lusa
- Adia
- Icole
- Muetse'
- Bane
- Fely
3: SAM FAN THOMAS
- African Typic collection
- Hello hello ( Somo Somo ngobila)

Nikitulia nitapost tena
yaani nilikuwa nakusubiri wewe tu jamaa, ngoja nikazinyonye, thanks in advance
 
1. MAHLATHINI AND MAHOTELLA QUEENS.
- Kazet
2: OLIVER N'GOMA
- Lusa
- Adia
- Icole
- Muetse'
- Bane
- Fely
3: SAM FAN THOMAS
- African Typic collection
- Hello hello ( Somo Somo ngobila)

Nikitulia nitapost tena
nitangulize shukrani zangu za dhati kwako rafiki, kiukweli ni kama upo kichwani mwangu maana hizi ndio ninazozitaka haswaa, japo kuna moja sijaipata tatizo ndo sijui inaitwaje ila ktk kibwagizo sauti za kike zinaimba kwa tone ya juu (ooho ooho *2 laa lala lalalala) kisha sauti ya kiume inaingiza maneno kidogo then zinajirudia, sijui kama umeufaham maana maelezo yenyewe hayajitoshelezi
 
hahahahh mkuu jopss nina furaha sana leo, kumbe nyimbo niliyokueleza hapo juu ndo hiyo ya mahlathini na mahotella, nashukuru sana ndugu yangu hii nyimbo nimeitafuta sana ilikuwa inabidi niivizie ktk vipindi vya nyimbo za kiafrika jioni-jioni, dah! this is JF, endelea mkuu!
 
Angalia na hizi;
DALOM KIDS (Izindunduma,mnganiwami,kanilewe)na nyingine nyingi.
 
Back
Top Bottom