Nemes johnson
Member
- Feb 24, 2017
- 35
- 11
Mm nategemea kuingia chuo mwez wa tisa kwa cz ya procurement and supply kwaiyo nlikua naomba kama kuna MTU kasomea cz iyo anisaidie notice kwakua ndo kwanza naanza certificate
Msaada ndugu zangu
Tafadhari
Au MTU yeyote mwenye ujuz nayo anisaidie tafadhar
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada ndugu zangu
Tafadhari
Au MTU yeyote mwenye ujuz nayo anisaidie tafadhar
Sent using Jamii Forums mobile app