Mkuu samahani, simu yangu( Nokia 6.1 plus) inasumbua charging system. Nimetega kwa vikaratasi Ila sasa imegoma kabisa na kuagiza online na corona hii nadhan kitafika mwakani. Kama kipo katika karakana yako au kuna sehemu naweza kupata hiyo system naomba tuwasiliane Pm.
Sent from my TECNO CF7 using Tapatalk