Huko benki nako kuna panya tozo uangalie vizuri.View attachment 2332306
Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa
Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
"Hao watu wawili ni waharibifu"Bora nizipeleke bar tu nizinywe ziishe. Hao watu wawili ni waharibifu tu hawana msaada bora bar naweza kuenda kukopa wakikumbuka niliwaungisha.
Kama hajatafuna namba za pembeni, peleka benki unapewa nyengine.View attachment 2332306
Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa
Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
Peleka kwa awamuView attachment 2332306
Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa
Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
Nipo mbali kidogo na dar ila nitajitahidi wiki hii nifike hapo botPeleka pale BOT....pale Wana kitengo Cha kubadilisha zilizochakaa au kupata majanga kama hayo.....
Niiliwahi kuunguliwa na fedha kama laki tatu.....vikabaki vipande kama nusu ya noti.....nilivyofika nakumbuka nilipewa karatasi nyeupe na gundi.....
Nikazigundisha kwenye karatasi na kuzikata mfano wa noti..... alafu zipigwa kitu kama mihuri na signature pale dirishani alafu nikaelekezwa kwenye mlango Fulani huko ndio nikapatiwa fedha mpya kabisa......
Na hapo ndio nikajua wanakopeleka hela wale jamaa wa kununua hela mbovu mitaani.....
Kama nitakuwa nakumbuka sawa...pesa iliyopata majanga kama moto au kuchanwa inarudishwa kulingana na kiwango Cha uharibifu.....
Mathayo 12:36-37Jiue commit suicide. The only best solution to encounter and challenge problems.
Mkuu jiue tu hamna namnaMathayo 12:36-37
[36]Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.
[37]Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.