Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

Kama huwafugi waliingiaje kwa droo ya kabati?
Hizi panya ni zamaajabu iwaje zile hela tu kwenye drow ya kabati Tena note za elfu 10 tu elfu tano hazijaguswa kbs,halafu ziache chakula mezani

Think twice,mimi sifugi panya.
 
Hizo zilizo liwa pembe, bank za kawaida wanazipokea.
zilizo liwa zaidi ya robo tafuta BOT branch ilio karibu nawewe.

.
 
Hayo ndiyo matatizo ya kutotumia vyombo vya usalama vilivyopo kuhifadhi fedha yako. Benki watazikubali wakithibitisha baada ya wewe kutoa kipande kimoja cha noti hakuna mwingine atakayekuja na kipande kingine cha noti hiyo hiyo moja. Noti ulizoonyesha zinaonekana zina sehemu kubwa ya noti. Hivyo, hakuna mtu atakayepeleka vile vipande vidogo vinavyokosekana. Kwa hiyo, benki watazikubali.
Baada ya benki kukubadilishia hela yako, liwe fundisho kwako jinsi ya kuhifadhi hela yako.
Tumia hata kibubu ndugu...... dah!!!!!
 
Back
Top Bottom