Kwa hiyo bora wale panya?Wew huogopi makato within one wiki ni withdrow tena!
Anashangaza kweli!Kati ya makato na Panya Bora Nini
Bora nizipeleke bar tu nizinywe ziishe. Hao watu wawili ni waharibifu tu hawana msaada bora bar naweza kuenda kukopa wakikumbuka niliwaungisha.Kati ya makato na Panya Bora Nini
Bora Panya aiseeeeKati ya makato na Panya Bora Nini
Jiue commit suicide. The only best solution to encounter and challenge problems.View attachment 2332306
Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa
Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
Hayo ndiyo matatizo ya kutotumia vyombo vya usalama vilivyopo kuhifadhi fedha yako. Benki watazikubali wakithibitisha baada ya wewe kutoa kipande kimoja cha noti hakuna mwingine atakayekuja na kipande kingine cha noti hiyo hiyo moja. Noti ulizoonyesha zinaonekana zina sehemu kubwa ya noti. Hivyo, hakuna mtu atakayepeleka vile vipande vidogo vinavyokosekana. Kwa hiyo, benki watazikubali.View attachment 2332306
Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa
Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
Unakuta dakika chache tu umetoka bank kudeposit, mbongo sio.Bora nizipeleke bar tu nizinywe ziishe. Hao watu wawili ni waharibifu tu hawana msaada bora bar naweza kuenda kukopa wakikumbuka niliwaungisha.
NashukuruHayo ndiyo matatizo ya kutotumia vyombo vya usalama vilivyopo kuhifadhi fedha yako. Benki watazikubali wakithibitisha baada ya wewe kutoa kipande kimoja cha noti hakuna mwingine atakayekuja na kipande kingine cha noti hiyo hiyo moja. Noti ulizoonyesha zinaonekana zina sehemu kubwa ya noti. Hivyo, hakuna mtu atakayepeleka vile vipande vidogo vinavyokosekana. Kwa hiyo, benki watazikubali.
Baada ya benki kukubadilishia hela yako, liwe fundisho kwako jinsi ya kuhifadhi hela yako.