Msaada wa NECTA acsee past papers

Msaada wa NECTA acsee past papers

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,130
Reaction score
6,360
Habari zenu wakuu..,ninapenda kuulizia mwenye kufahamu tovuti/website zenye past papers za alevel necta kuanzia 2016 na kurudi nyuma...,anisaidie...hasa hasa science subjects....,itakuwa vyema kama uki-share hapa jukwaani ....natanguliza shukrani ....kwako wewe ...,
 
Jalibu kupakua application ya tHL kwenye simu yako halafu lipia Tsh 2000 kwa mwezi, hapo unapata nots,mitihani iliyopita na hata quizes pia.
 
Habari zenu wakuu..,ninapenda kuulizia mwenye kufahamu tovuti/website zenye past papers za alevel necta kuanzia 2016 na kurudi nyuma...,anisaidie...hasa hasa science subjects....,itakuwa vyema kama uki-share hapa jukwaani ....natanguliza shukrani ....kwako wewe ...,
Pastpapers za miaka yote masomo yote mpaka 2016 zipo kwenye tHL app.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. OFFLINE version Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL Web Browser na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom