Angali buyer unaweza kufanya nae kazi physical , Kwa arusha wapoSio nyingi boss, za kama laki 6+ kwa bei ya leo
Ile uweze kupewa permision ya Kuuza Lazima uwe na capital fulani ivi na pia hao jamaa waverify kwa ID, Mabuyer wakubwa wana aminika mkuu unaweza kuchat nae kabla hujamuuzia wale unawaona kwa list ya wauzaji na wanunuzi Tayari wana mtaji.mikubwa kidogo na wako verifiedok so sio safe kuuza online? na vipi wale wanao uza kupitia mitandao kama huo wa localbitcoins.com wanauzaje bila kuonana?
kuhusu verification tayari nilisha kua verified kwa ID mkuu, ila was was wangu ulikua ni kwamba zile hatua za kuuza sizifahamu so ndo maana nkataka mtu ambae alishawah kuuza kule anipe hatua za kuepuka matapeli ili hata nikianza kucha na buyer nakua tayari nafamu jinsi ya kufanyaIle uweze kupewa permision ya Kuuza Lazima uwe na capital fulani ivi na pia hao jamaa waverify kwa ID, Mabuyer wakubwa wana aminika mkuu unaweza kuchat nae kabla hujamuuzia wale unawaona kwa list ya wauzaji na wanunuzi Tayari wana mtaji.mikubwa kidogo na wako verified
Boss kuna njia yotote unatumia kuwin izo coin out of deposit nakusubiri zipande mana dah kuna Watu wameniandama sana nahsi.kama ni scamers nawapima tuLocalbitcoins nahisi wanatumia Escrow system so kuibiwa ni ngumu kidogo......tengeneza account localbitcoin then Fanya deposit ya coins zako kisha angalia buyer mwenye feedback nzuri na bei nzuri kisha muuzie......Mimi natumia reminato.com wako poa sana hakuna wizi
shukran mkuu na acc tayari nnayo na iko verified ngoja nitazame mwenye feedback nzuriLocalbitcoins nahisi wanatumia Escrow system so kuibiwa ni ngumu kidogo......tengeneza account localbitcoin then Fanya deposit ya coins zako kisha angalia buyer mwenye feedback nzuri na bei nzuri kisha muuzie......Mimi natumia reminato.com wako poa sana hakuna wizi