Msaada wa namna ya kutumia AUTOCAD

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,925
5,528
Habari zenu Ndugu wadau Wa hili jukwaa la Kazi na Tenda, Naombeni msaada wenu hasa ktk steps za kuandaa profiles mfano Kwa upande Wa Sewer lines, Roads etc,
Nimejalibu kupitia pitia documentary tutorials za wadau Youtube naona sielewi,
Msaada Plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
Hizo profile ni kwa ajili ya miradi mikubwa ya barabara.
AUTOCAD ya sasa inahitaji computer iliyoshiba graphics video kwa hiyo kazi.
ukitumia autocad ya kawaida itabidi uwe umesha chora bila computer kwa meza.
Ama sivyo autocad ya road haitasumbua kila kitu kiko wazi.
...
 
Back
Top Bottom