Msaada wa namba ya simu ya RPC wa mkoa wa mwanza

walikuyu

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
572
1,188
Wakuu habari za jioni.

Niende kwenye mada moja kwa moja, tumekwama tupo mwanza kwenye sheli inayoitwa nyamhongolo. Tulikuwa tunatoka dodoma kuelekea musoma na gari ya ISAMILO sasa ili gari ni bovu sana limearibika pale maganza likatengemaa sasa tumefika mwanza wanasema gari mbovu wanataka kutupakia kwenye champion ya musoma ambayo nayo imejaa level city sasa sisi kama abiria tumegoma kupanda.

Msaada wa namba za simu za RPC tafadhali.
 
Aaaaaah makwafya ebu huko!..we nae umezidi umbea sana.

Huyu jamaa atakua mjita huyu....wasumbufu sana hawa jamaa!!!
 
Wakuu habari za jioni.

Niende kwenye mada moja kwa moja, tumekwama tupo mwanza kwenye sheli inayoitwa nyamhongolo. Tulikuwa tunatoka dodoma kuelekea musoma na gari ya ISAMILO sasa ili gari ni bovu sana limearibika pale maganza likatengemaa sasa tumefika mwanza wanasema gari mbovu wanataka kutupakia kwenye champion ya musoma ambayo nayo imejaa level city sasa sisi kama abiria tumegoma kupanda.

Msaada wa namba za simu za RPC tafadhali.
Umeshampigia?
 
Tayali tushamcheki
Mtaondoka kesho Asubuhi. Hakuna basi sasa hivi la kuwachukua. Mabasi yote mabovu. Hii ni biashara jombaa....

Afu we jamaa umevaa tishirt ya kijivu...nakuona hapa upo busy kuchat....yaani issue ndogo ya namna hii mpaka umeileta huku?...geuka kushoto kwako...utaniona
 
Back
Top Bottom