Msaada wa nafasi ya kazi wanajamvi

Msaada wa nafasi ya kazi wanajamvi

Asante ngoja niweke WhatsApp GB maana simu sioyangu inawhatsApp ya mwenye simu
Teh teh teh... Kazi sana humu JF..

We ni mwalimu wa Book Keeping au Accounting?? Teh teh teh JF raha sana
 
Habari Wanajamvi

mimi ni mhitimu wa chuo, nimemaliza chuo, nimesoma uwalimu level ya degree mpaka sasa ni mwaka wa tatu sijafanikiwa kupata kazi kinachonisikitisha mzazi wangu anaumwa na amedhoofu ananitegea mimi hata pesa ya ku-support matibabu sina.

naomba msaada wenu kupata connection za kazi maana nafikiri kujiajiri sina hata mia mfukoni.

nitafurahi nikipata kazi ya uwalimu wa Geography katika shule...nina uwezo wa kufundisha Geography na Wanafunzi wakafauru vizuri.

Pia nikipata nafasi ya kazi yoyote hata Manual Work naweza ifanya.

Masada wenu niweze kumsaidia mzazi kiafya.
Nilijua tu.. Pole sana kwa matatizo yako, siko hapa kukuenjoy..

Lakini ndugu yangu, Acha kakariri hayo mavitu umetoka nayo shule, dunia ni kitu kingine kabisa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom