Msaada wa movie hii.!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,836
9,982
Binafsi sio mdau sana wa Bongo movie ila namkubali sana King Majuto pekee,
Kuna ile movie inayoitwa "nakwenda kwa mwanangu"
Aliigiza na Jb,
Nimejaribu YouTube nimekuta vipande vya matangazo tu hivyo mwenye link naomba anisaidie niidownload hiyo movie.
Mbarikiwe sana.
 
We ni mzee majuto mwenyewe unakuja kutest uone kama movie yako ipo mtandaoni au laah!? sasa link ninayo ila sikupi. ova.
Mie siye mzee Majuto mkuu,
Mie ni yule muuza majeneza maarufu hapa Dodoma.!
Ila kama link unayo ila umeamua kuninyima poa siku ukifa sintowauzia ndugu zako jeneza kwa bei ya punguzo.
 
Mie siye mzee Majuto mkuu,
Mie ni yule muuza majeneza maarufu hapa Dodoma.!
Ila kama link unayo ila umeamua kuninyima poa siku ukifa sintowauzia ndugu zako jeneza kwa bei ya punguzo.
Nikikupa link nitapata discount ya % ngapi kwa jeneza langu.
 
Binafsi sio mdau sana wa Bongo movie ila namkubali sana King Majuto pekee,
Kuna ile movie inayoitwa "nakwenda kwa mwanangu"
Aliigiza na Jb,
Nimejaribu YouTube nimekuta vipande vya matangazo tu hivyo mwenye link naomba anisaidie niidownload hiyo movie.
Mbarikiwe sana.
Kanunue cd wewe, acha wizi
 
Ndio maana wasanii bongo muvi wanalia njaa.... kumbe watu hawanunui wanapakua za bure tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom