Ostadh Nurdini
Member
- Oct 14, 2016
- 9
- 2
Assalaam alleikhu ndugu zangu..Matumaini mtakuwa hamjambo na wazima wa afya, nahitaji kujuzwa kuhusiana na International Money Transfer ipi inatakiwa niweze kupokea hela kutoka M-pesa au tigopesa?
Je, mtu anaweza akanitumia hela moja kwa moja kutoka U.K(GBP) moja kwa moja kwenye akaunti yangu ikaingia ua kuna namna ambayo mnaifahamu nikapata kwa urahisi? Money Gram au Western Union?
Msaada wenu
Asante sana mkuu
Huko wave si ndo mwanzo wa kupigwa hela online kama mtu asipokuwa makini? Maana wezi wa mtandaoni kila kukicha wanafuatilia njia rahisi za kupata details za accounts za watu za bank ili wadukue. Binafsi najua western union ndo nimeizoea. Natuma, mpokeaji anaipata kwenye simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha mkuu,wave sio wezi ni rahisi na faster!!Huko wave si ndo mwanzo wa kupigwa hela online kama mtu asipokuwa makini? Maana wezi wa mtandaoni kila kukicha wanafuatilia njia rahisi za kupata details za accounts za watu za bank ili wadukue. Binafsi najua western union ndo nimeizoea. Natuma, mpokeaji anaipata kwenye simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akutumie kwa njia ya world remit pesa inaingia kwenye akainti yako simu
Acha kupotosha mkuu,wave sio wezi ni rahisi na faster!!
Umegonga mule mule mkuu!!Nimewatumia hawa jamaa raha yake hawaa utume hela kuja mtandao wa tigo zinaingia ndani ya dakika ila ukituma kwa mtandao m pesa zitachukua hata siku 3 kama mimi muongo mkuu semaa plus hawa woldremit wana service charger na rates yao ni ndogo sana compare na hawa wave vile vile vile wave hawana service charger na rates yao ipo high compare to western union or world remit
Kuhusu mpesa sijui ila tigo pesa fasta tuNimewatumia hawa jamaa raha yake hawaa utume hela kuja mtandao wa tigo zinaingia ndani ya dakika ila ukituma kwa mtandao m pesa zitachukua hata siku 3 kama mimi muongo mkuu semaa plus hawa woldremit wana service charger na rates yao ni ndogo sana compare na hawa wave vile vile vile wave hawana service charger na rates yao ipo high compare to western union or world remit
Umegonga mule mule mkuu!!
Kuhusu mpesa sijui ila tigo pesa fasta tu
Wala hujakosea mkuu!!Mkuu me najaribu kuwasaidia na wengine kama kuna mahali nimeongea uwongo nitafurahi kurekebishwa ni vizuri zaidi....ila hiyo kwa mimi ndio naona njia rahisi kutuma hela kutoka nje.....
vipi mkuu hata kinyume chake inawezekana from tanzania to uk?Ni kitu rahisi tu wasiliana na huyo mtu ambaye yupo UK mwambie aende kwenye playstore adownload application inaitwa wave then aweke bank details zake na asave number yako ya voda kwenye simu then akutumie hela hizo hela zitaingia ndani ya dakika 1 kwenye account yako ya M pesaa hiyo ni kwa m pesa tu