Home base ume wrong number kamanda nakuonea huruma sana. Kama hutaki longo longo kwenye hivi tv hasa smart tvs nunua brand kubwa huwa hawakosei. Samsung, lg full stop sanasana SamsungHabari zenu,naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku tano zilizopita nilinunua smart TV Aina ya HOMEBASE inchi 43 Kama ilivyokawaida smart TV nyingi Zina receiver.
Sasa shida yangu ni kwamba ukisearch stesheni kupitia Hy receiver Kuna option nyingi kama ya location uliyopo mf tz na Kama unatumia antenna,cable au satellite
Kiukweli kwa kuwa ninayo antenna niliconnect wire wa antenna kwenye tv na nikasachi stesheni na nikafanikiwa kupata stesheni baadhi nyingi ni za tz mf eatv,itv,tv1,uhai tvn.k
Sasa hamu yangu kubwa nikujua je naweza kutumia dish ,maana madish kuconnect na tv yanatumia lnb na kwenye tv hamna ,pale Kuna RF(S2) na je hii RF(S2) ni nini
MSAADA jamani kwa mwenye uelewa
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Home base ume wrong number kamanda nakuonea huruma sana. Kama hutaki longo longo kwenye hivi tv hasa smart tvs nunua brand kubwa huwa hawakosei. Samsung, lg full stop sanasana Samsung

Kwa mfano sasa hivi Samsung wana tv zinazoitwa satellite tvs, means that tv kama tv ina kingamuzi ndani kwa ndani unaweka antena nje then una serch channels na unazipata bila decoder inaitwa digtal tv vile vile ina sehem ya dish yaani unaweka dish kwa nje then unachomeka kile kichwa moja kwa moja kwenye tv bila decoder yake then unapata channels
Angalia matumizi yake ya umeme ukilinganisha na ya samsung au lg utajua vile vile features zakeHOMEBASE cy kampuni mbaya wanajitahiti nao kutoa vitu bora,natumia hata Friji la HOMEBASE mwaka wa tatu huu Bila shida yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano sasa hivi Samsung wana tv zinazoitwa satellite tvs, means that tv kama tv ina kingamuzi ndani kwa ndani unaweka antena nje then una serch channels na unazipata bila decoder inaitwa digtal tv vile vile ina sehem ya dish yaani unaweka dish kwa nje then unachomeka kile kichwa moja kwa moja kwenye tv bila decoder yake then unapata channels
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi yake ya umeme ni ya kawaida kwangu mi naona maana ni 100W power consumptionAngalia matumizi yake ya umeme ukilinganisha na ya samsung au lg utajua vile vile features zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.Habari zenu,naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku tano zilizopita nilinunua smart TV Aina ya HOMEBASE inchi 43 Kama ilivyokawaida smart TV nyingi Zina receiver.
Sasa shida yangu ni kwamba ukisearch stesheni kupitia Hy receiver Kuna option nyingi kama ya location uliyopo mf tz na Kama unatumia antenna,cable au satellite
Kiukweli kwa kuwa ninayo antenna niliconnect wire wa antenna kwenye tv na nikasachi stesheni na nikafanikiwa kupata stesheni baadhi nyingi ni za tz mf eatv,itv,tv1,uhai tvn.k
Sasa hamu yangu kubwa nikujua je naweza kutumia dish ,maana madish kuconnect na tv yanatumia lnb na kwenye tv hamna ,pale Kuna RF(S2) na je hii RF(S2) ni nini
MSAADA jamani kwa mwenye uelewa
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.
Ukizoom unaweza ona mkuuKwa uzoefu wangu, RF (S2) ni sehemu ya kuingizia waya antenna/cable tv. Hizo tv smart hazina uwezo wa kudaka mawimbi ya dish, we nunua king'amuzi tu ukitaka kuangalia channel za kwenye madish.