Nimekuwa nikitumia modem ya Zain kwa muda mrefu bila shida yoyote sasa leo nimeshindwa kuelewa kabisa! Yaani nimejaribu kufungua internet thru "Zain e-GO" ikanigomea kabisa!Modem ilikuwa kama ime-stick ivi na nikaamua ku-Uninstall! Apo ikawa ndo balaa jingine yaani nilipojaribu ku-reinstall apo ndo ikagoma kabisa yaani hakuna kitu chochote kinaachotokea ktk screen ya laptop!<br />
<br />
Dokezo:Modem hii hii inafanya kazi vizuri kabisa Ktk computer nyingine ambazo tayari zina "zain e-GO" na naona tatizo lake ni installation tu!<br />
<br />
Wana JF nisaidieni namna gani naweza ku-reinstall hii kitu ili niendelee kuenjoy na net thru my modem???-----Nawasilisha!