mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Naomba kusaidiwa kupata hii software.. Imenipa Moral ya kuitafuta, maana nilienda kuflash simu ya nokia.. Nikamuona jamaa anaitumia hii kitu, nimejaribu kuisearch but sijafanikiwa,.. Yoyote anayeweza kunisaidia anakaribishwa.