Msaada wa mawazo.

Msaada wa mawazo.

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
kuna binti 2napendana xana,na 2meahidiana kuoana hapo baadae mungu akipenda.Kila m2 ninaemuambia ananishaur kilichobaki nchunguze background yao.Je nitachunguza vp background yao?:help:
 
Unataka kukimbi wewe

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Zama gogle kijana! Utaona kila kitu kuhusu yeye!
Chezea Goooooogle weyeee!

kuna binti 2napendana xana,na 2meahidiana kuoana hapo baadae mungu akipenda.Kila m2 ninaemuambia ananishaur kilichobaki nchunguze background yao.Je nitachunguza vp background yao?:help:
 
ss ww bckgrnd ya nn!?unataka kudanganywa?
Haya usije tu hapa unalia kuomba ushauri wa kumuacha baada ya kujua hyo bckgrnd
 
Mkapime ukimwi hapo ndo utajua background yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkapime ukimwi hapo ndo utajua background yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hili ndiyo la msingi bana, ampachike na ujauzito pia kujua kama kizazi hakijaharibiwa na hizi abortion wanazofanya karibia kila mwezi........... mengine ni maumivu ya moyo tu.
 
Njoo ofisini kwetu tunafanya tafiti mbalimbali. Tukubaliane terms tu na malipo na tuanze mara moja. Retrospective study itakugaa zaidi. Google that.
 
kuna binti 2napendana xana,na 2meahidiana kuoana hapo baadae mungu akipenda.Kila m2 ninaemuambia ananishaur kilichobaki nchunguze background yao.Je nitachunguza vp background yao?:help:

Hao wanaokushauri hawajakupa muongozo?
 
labda kama anataka education background ndo ataipata huko google

Ahaahaaa!
What u have said is correct 100%!
And what i have is correct too!
Mmh! Jamaa kauliza "....VIPI ataweza kumchunguza!" katumia kiulizi 'VIPI' = 'HOW'!
EDUCATION HAS NO LIMITS!
 
Ahaahaaa!
What u have said is correct 100%!
And what i have is correct too!
Mmh! Jamaa kauliza "....VIPI ataweza kumchunguza!" katumia kiulizi 'VIPI' = 'HOW'!
EDUCATION HAS NO LIMITS!
akimchunguza sana bata hata mla shauri lake. naungana na wadau waliomshauri wakapime HIV.
 
Back
Top Bottom