Msaada wa mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SIR.NOM, Sep 11, 2012.

 1. SIR.NOM

  SIR.NOM Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya mikopo wananipa sh.2,600,000/= tu lakn hali yangu ya kiuchumi inabana sana,naomba msaada wenu,ushauri nifanyaje ili niweze kuitumia nafasi hii na ninaipenda sana tena sana kutyoka damni,na tar.ya kuripot ni kuanzia 29/09/2012.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  sasa wewe siulijua kuwa ada ni ghali kwanini uliichagua..au ulikuwa unatafuta umaarufu!! haya cha mtema kuni utakiona..
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  mkuu iyo ada kwa miaka yote utakayosoma au mwaka 1?
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ngoma ya mwaka mmoja na ndo anasoma miaka mitano??
  alafu uniambie kakosa mkopo.
   
 5. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Iyo mwaka mmoja tu, chezea wahindi wa IMTU ww!!
   
 6. K

  KALLAGO Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaha kaka ukiwa na nauli ya kupata bus la kimbinyiko usipande abood litakushusha njiani
   
 7. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Da unajua kubadili chuo ni ngumu, na bodi kukulipia 6.5 mil wakat wengine 1.5 mil hawawezi.cha kukushauri pumzika huu mwaka halafu uombe vyuo vingine kama Muhas. Bugando au kcmc. Me 4th year Udsm
   
Loading...