Msaada wa kimawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kimawazo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SIR.NOM, Sep 11, 2012.

 1. SIR.NOM

  SIR.NOM Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya mikopo wananipa sh.2,600,000/= tu lakn hali yangu ya kiuchumi inabana sana,naomba msaada wenu,ushauri nifanyaje ili niweze kuitumia nafasi hii na ninaipenda sana tena sana kutyoka damni,na tar.ya kuripot ni kuanzia 29/09/2012.
   
 2. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah.. Unatia huruma sana mkuu! Toka zamani nlikua najiuliza, hivi bodi ya mikopo na serikali yao walifikiria nini kuweka mfumo mbovu namna hii?? Yan mtu eg. wa udaktari anapewa 100% ambayo ni ndogo sana compared na ada nyingi za private institutions! Mkuu hapo utakua unadaiwa ka mil 4 ivi, kwa maisha ya sasa tulio wengi tutazimudu kweli? mkuu pole sana!
   
 3. A

  Apex JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu fanya mchakato wa kumutafuta mfadhil mapema iwezekanavyo,yaweza kuwa mtu binafsi,shirika au taasisi kama za dini waweza saidiwa,kiukweli inauma sana 100% serikal ilitakiwa kutoa ada yote,sasa hiyo ni 100% au 20%,mkuu jaribu fanya mchakato mapema iwezekanavyo Mungu atakusaidia.
   
 4. mnoel

  mnoel Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  cha maana ni kwamba kama usipompata mfadhili na uwezo wa kutoa fedha zote huna ni bora kutafuta coz nyingne ambayo unaweza kuimudu kwa ada yake!,, maana hata ukipewa asilimia mia ya mkopo utahitajika uwe na 20 milion for five years,,
  kumbuka mshahara wa daktari wa kawaida ni laki 9 tu!,, hadi kufikisha milion ishirni unatakiwa ufanye kaz miaka mitatu,, hapo ni kwamba boom umepata mia!, kama hukupata mia kitendawili kingne hcho!
  Angalia mbele kipi bora,,,?
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Embu angalia kama kuna mashirika binafsi yanaweza kukukopesha hiyo hela iliyobaki. Ukikosa kabisa anza kufikiria course mbadala utakayoweza kusoma alafu MD uje usome baadae. Pole.
   
 6. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe 2 umejichanganya we unaona kabsd umeandikiwa priority hela unayopewa 100% lkn bado unatakiwa uongeze alaf unajaza hko chuo inamaana unajiweza.kwan ukuomba muhas,udom inamana ulikua na point ndogo km vp mwaka huu potezea mwakan nursing.
   
Loading...