<br />Heshima yenu wakuu! wakuu naombeni msaada wa mawazo,nina mchumba wangu nipo naye kwa mwaka na nusu sasa,ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa tz,nilimtambulisha home but sijajitambulisha kwao but dada zake wote na ndugu zake wananifahamu kwa kukutana tu sehemu mbalimbali, tatizo mama yangu ameanza kuleta maneno ambayo siyaelewi akidai kwamba huyo msichana hanipendi na yuko na mimi ki maslahi zaidi,ameniambia nimchunguze sijaona tatizo lolote,sasa leo kaja na mpya kwamba ameoteshwa ndoto mbaya juu ya huyo msichana na amesema eti tufunge na kuomba week hii ili Mungu atupe jibu.<br />
inavyoonekana hampendi huyu msichana but mimi sioni tatizo lolote na nampenda,issue nyingine nna mtoto nilimpata nikiwa chuo so ameniuliza je nilishamwambia nikamwambia no! mda bado ukifika nitamwambia akawa mkali.Binafsi sioni tatizo la huyu msichana kwani anawapenda sana hata ndugu zangu na anainipenda pia.Sisi ni wachaga na huyo msichana ni mwarusha. Je niwakati mwafaka wa kyumwambia msichana juu ya mtoto wangu? je huyu mama anataka nini na nifanye nini? nawakilisha!
Fungeni, kama ndoto ya mama ni ya ukweli mtapata jibu, kama si ya kweli pia mtapata jibu. Wazo la kufunga na kuomba ndio la msingi hapo usije kuoa mke wa mwenzako afadhali umuombe Mungu upate jibu mapema. Pia kuhusu mtoto mwambie mapema usianze mchakato wowote kabla hujamuambia kuhusu mtoto, usijifariji anakupenda na anawapenda ndugu zako ni mapema mno kusema hilo hasa la ndg bora wewe mwenyewe, ukimuambia ukweli ndio utagundua anakupenda au la, mwambie as soon as you canHeshima yenu wakuu! wakuu naombeni msaada wa mawazo,nina mchumba wangu nipo naye kwa mwaka na nusu sasa,ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa tz,nilimtambulisha home but sijajitambulisha kwao but dada zake wote na ndugu zake wananifahamu kwa kukutana tu sehemu mbalimbali, tatizo mama yangu ameanza kuleta maneno ambayo siyaelewi akidai kwamba huyo msichana hanipendi na yuko na mimi ki maslahi zaidi,ameniambia nimchunguze sijaona tatizo lolote,sasa leo kaja na mpya kwamba ameoteshwa ndoto mbaya juu ya huyo msichana na amesema eti tufunge na kuomba week hii ili Mungu atupe jibu.
inavyoonekana hampendi huyu msichana but mimi sioni tatizo lolote na nampenda,issue nyingine nna mtoto nilimpata nikiwa chuo so ameniuliza je nilishamwambia nikamwambia no! mda bado ukifika nitamwambia akawa mkali.Binafsi sioni tatizo la huyu msichana kwani anawapenda sana hata ndugu zangu na anainipenda pia.Sisi ni wachaga na huyo msichana ni mwarusha. Je niwakati mwafaka wa kyumwambia msichana juu ya mtoto wangu? je huyu mama anataka nini na nifanye nini? nawakilisha!
<br />Heshima yenu wakuu! wakuu naombeni msaada wa mawazo,nina mchumba wangu nipo naye kwa mwaka na nusu sasa,ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa tz,nilimtambulisha home but sijajitambulisha kwao but dada zake wote na ndugu zake wananifahamu kwa kukutana tu sehemu mbalimbali, tatizo mama yangu ameanza kuleta maneno ambayo siyaelewi akidai kwamba huyo msichana hanipendi na yuko na mimi ki maslahi zaidi,ameniambia nimchunguze sijaona tatizo lolote,sasa leo kaja na mpya kwamba ameoteshwa ndoto mbaya juu ya huyo msichana na amesema eti tufunge na kuomba week hii ili Mungu atupe jibu.<br />
inavyoonekana hampendi huyu msichana but mimi sioni tatizo lolote na nampenda,issue nyingine nna mtoto nilimpata nikiwa chuo so ameniuliza je nilishamwambia nikamwambia no! mda bado ukifika nitamwambia akawa mkali.Binafsi sioni tatizo la huyu msichana kwani anawapenda sana hata ndugu zangu na anainipenda pia.Sisi ni wachaga na huyo msichana ni mwarusha. Je niwakati mwafaka wa kyumwambia msichana juu ya mtoto wangu? je huyu mama anataka nini na nifanye nini? nawakilisha!
hapa umeongea mkuu!Muulize vizuri mama yako anaweza kuwa nni dada yako,maana maisha tunayoishhi haya yamejaa mambo ya ajabu na siri nyingi sana
Wamama wanajua sana kuwasoma mabinti wa kike, tukumbuke pia na wao walipitia stage hizo mnazopitia.sio ndugu yangu mkuu! Its just mama ana wasawasi kuwa hana true love!!!!!!
Boss kumbuka ameota ma ra nyingi na kama kuna ambavyo vilitokea kuna ambavyo havija tokea. Aliota vibaya kuhusu huyo dada sababu tayari amesha fanya fixation about her. Ukweli ni kwamba mtu hawezi kumchukia mtu bila sababu. Kaa na mama yako umuulize tatizo ni nini na ni kitu gani aliona kufika kwenye hiyo conclusion (kwamba yuko na wewe kimaslahi zaidi). Based on that ndio umchunguze mpenzi wako.kwanza mwambie huyo msichana kuhusu mtoto
halafu je mama yako aliwahi kuoteshwa nini huko nyuma ikawa kweli?????????