Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 503
- 868
- Thread starter
-
- #21
Toa ushauri wako tu mkuu.. Hayo mengine niachie mimi..Huyo kimwana mkeo au hawara wako? Usikute tunatoa ushauri kwa wazinzi tukiamini tunajenga kumbe tunalibomoa taifa.
Hapana bado sijaoa mkuu ni girlfiend tu ila pia nataka awe mke Mungu akijaaliaMwezi hautoshi,angalau miezi mitatu!
Suluhisho kubwa ni kuweka saikolojia yako vizuri tu..hauna tatizo,
Acha kufikilia sana pesa,sababu kama umeshaoa inamaana kwasasa inabidi ufikirie familia zaidi kuliko pesa,maswala ya pesa tuachie sisi ambao hatujaoa.
Pendelea sana kula sea foods,nuts na mboga za majani.
Mazoezi fanya sana squashi na kuruka kamba.
My problem haswa ni kwamba nawahi sana to the extent nahisi simfikishi mwenzangu.. Ila kwa idadi hata nne inafika..Vizuri unataka uweze kupiga nyingi au uchelewe ku ejaculate?
Asante sana mkuu kwa ushauri.. Ntafanyia kazikwenye vyakula wanashauri ule ambavyo havijakobolewa au kukaangwa sanaa ugali Dona, mihogo, viazi, maharage mabichi, mbog za majani kwa wingi zichemshwe kidogo, matunda
ila hapo kwa mdada usimtese tafuta plan B yakukeep mindset yake busy asije tafuta mchempuko mtoe out nyingi ila kwenye public place uvumilivu usije ukawashinda
Thanks.. So hata madafu si fresh ama nazi kabisa nazi?Kula nazi kwa wingi mkuu
Bao sio issue siku nikiwa vizur hata nne sio issue.. Ila my problem is pumzi na kuwahi..Unapiga bao ngapi kijana
ThanksUkitaka kwenda mbio ndefu bana pumzi "usiache mdomo wazi" punguza woga uwapo uwanjani!
young kilimanjaro
Asante sana... So niwe nakunywa kila asubuhi ama mda mzuri ni saa ngap?Chemsha mdalasini wa India (mwekundu), weka na asali, kunywa kama Chai
Nazi bosi. Usiogope
Well ngoja niseme ukweli hapa.... Kuna baadhi ya mambo yalinitokea kuanzia miaka kama 5 iliyopita kama si 7 nikawa mtu mwenye stress mno za maisha.. Ikawa sina mpenzi kwa mda mrefu so nikawa najifariji kwa pull ila pia nilikuwa mtu mwenye mawazo mno kwa kama miaka miwili straight na afya yangu haikuwa nzuri..Kama kweli unahitaji msaada hebu kwanza toa historia yako.
1. Chanzo cha tatizo lako hasa unahisi ni nini? Kisukari, pressure, mlo mbaya au punyeto.
2.huwa unaenda round ngapi? Na kila round inachukua Muda gani? Na ungependa uwe unaenda round ngapi na kwa muda gani?
Jibu hayo juu ili tuone tunakusaidiaje mwanaume mwenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mfupi mno kuupima kwa kweli..Kama kweli unahitaji msaada hebu kwanza toa historia yako.
1. Chanzo cha tatizo lako hasa unahisi ni nini? Kisukari, pressure, mlo mbaya au punyeto.
2.huwa unaenda round ngapi? Na kila round inachukua Muda gani? Na ungependa uwe unaenda round ngapi na kwa muda gani?
Jibu hayo juu ili tuone tunakusaidiaje mwanaume mwenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
fisi na bucha!!!Wakati unajipa hio likizo ya mwezi, nipe kimwana wako nikulindie.
Thanks mkuu.. NtajaribuHapo dawa ni uile papuchi mfululizo kama wki hv mashine itazoea na utarudi kawaida na utakuwa na confidence
Hahaha usalama upo kabisa asiwe na shaka.fisi na bucha!!!
Mrembo upo? Yaan bora huyu kasema ukweli wake...wanaume wengi ni wachovu wa kutupwa kitandani lakini hawataki kukiri hilo.Hahaha. Wanaume idea hiyo ikitikisika kidogo mnakuwaga wapoleeeehata uambiwe mkojo wa punda dawa utakunywa kama mma.