Msaada wa mawazo wakuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo wakuu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makbel, Sep 20, 2012.

 1. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nimechaguliwa kozi ambayo haikuwa pale chuo cha Mipango Dodoma chaguo langu kwenye mfumo wa CAS wa TCU. Pia sikuikubali baada ya kuniambia nicofirm baada ya kupata chuo kikuu cha Kiislamu pale Morogoro kwa kozi niliyoitaka. Mpaka hapo nimepata vyuo viwili kwa kozi tofauti. Ile ya TCU inanitaka nicofirm lakini mimi nimeenda MUM kucofirm. Hapa sasa naona kuna tatizo baada ya TCU kutonitambua kule MUM cause hata katika selection za mikopo sipo na vigezo vyote nilikuwa navyo. Je, nifanyeje ikiwa nilipeleka barua yangu ya kuchaguliwa pale bodi ya mikopo kutoka MUM na wakaikataa?
   
Loading...