Msaada wa mawazo wa pikipiki

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Habarini wakuu,...
Nina malengo ya kuchukua pikipiki ya mkataba kwa kuwa kwa sasa sina ela cash ya kununua moja kwa moja. Hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu ni aina gani ya kampuni pikipiki zao ni imara ambazo zinauwezo wa kuimili mikikimikiki lakini pia na swala la mafuta.
Planning yangu nikipata hiyo pikipiki nitakuwa nafanya kazi ya bodaboda kwa masaa machache baada ya kumaliza kazi za watu kuanzia jumatatu hadi ijumaa ila jumamosi na jumapili ndo nakuwa nipo full time.
Ahsanteni na nategemea kupata mrejesho kutoka kwenu wakuu
 
Back
Top Bottom