Msaada wa Mawazo Unahitajika Haraka!!!

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
801
Reaction score
362
Habari zenu wadau

Nina rafiki yangu amekuwa anajitolea kwa muda wa 5 months now kwenye benki moja hapa dsm baadaya ya kutafuta kazi na kukosa. Hivi karibuni wameitwa kwenye interview na hiyo benki baadaya kutoa nafasi za kazi,sasa tatizo ni kwamba wakati anaomba kujitolea alipeleka vyeti vya bachelor lakini alikuwa hana cpa na hivi juzi matokeo yametoka na amefanikiwa kupata CPA,sasa anajiuliza apresent vyeti vya CPA ili aweze kubargain mshahara mzuri au akae kimya halafu awasilishe hivyo vyeti baada ya kuajiriwa
Jamani great thinkers, afanyeje huyu mdau ili niweze kumpa ushauri mzuri? :confused2:
 
aende kama alivyoitwa,as ameitwa kwa sababu kameet vigeezo,hiyo akienda nayo kwenye oral interview ikawezekana kuionesha its ok,
 
Si mshauri awapatie cha mwanzo,na katika interview anaweza kuonyesha kama CPA yake ni addtional qualification lama wakimuuliza,Mabank mengine hayataki watu waliosoma sana maana kuacha kazi kwao ni mda wowote na kukuimbilia sehemu zenye maslahi zaidi au serikalini wanaotaka hao watu wenye CPA.

Niwe na CPA ni banker ..lol hata kidogo
 


unadhani banking ni ujinga sio? ni professions kama CPA MHASIBU WEWE!!! usikute una elimu ya kuunga.
huku banking watu kibao wana certification hizo na related, yategemea idara gani na wapi mahela unalipwa kibao; while Dt kwa serikali mtaa anakula 2mil wenzake wanalipwa 5mil and above; yategemea experience;uchapakazi na negotiation tu; lolz
 
go to the interview; wasimulie hitting point; usihadithie kupitiliza choose what they want ;just confidence will do;
if you love banking na sio kuiba hella serikalini you will prosper;
very good salaries; yategemea bank gani na unaingiaje; get experience kwanza.
 
Hakuna bank inayolipa mishara mizuri Tanzania kwa mtu amabaye hana experience hao unawaona wanapata pesa kiasi wana experience not less 15 yrs.na anayeomba ushauri ana miezi 5 ya experience.Shida nyingine yakuwa banker akili zinakuwa kama za kuku hajui maisha ya mtaani..
 


nani kakwambia mpaka miaka 15. mbona jammaa wana 5 years wanakula 4.5mil, yategemea dedication, uchapakazi.mbona sa kumi na moja tunakimbizana wote nyumbani.au we yumejiajiri. mi benka lakini jmosi, pili niko home.mind you hujui ukisemacho. acha afanye apendalo. wawezakuta we ni ticha nae hapendi
 
Thanks for the advice
 
Kama ameipata akiwa ameishaingia hapo sioni tatizo.kwani kwenye Oral anaweza kuwaambia kwamba amepata hiyo hivi karibuni.Mimi nikiwa HR watu wanaoingia kwa kuficha baadhi ya vyeti, nawapiga chini kwani hiyo inaonyesha wewe si mkweli.
 
a na b yote sio sawa. a)asipoonyesha baadaye watasema sio mkweli. b)akionyesha jamaa watamuogopa kawazidi elimu.
 

kama kuku kivipi sasa,na kutokujua maisha ya mtaani kwani hao huish humo humo ndani ya bank,kul.,kulala na kila kitu chao humalizia humo humo??hoja zako zimeshindwa kujitosheleza mkaka/bishost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…