Msaada wa mawazo tafadhali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo tafadhali.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gavanor, Oct 16, 2011.

 1. G

  Gavanor Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mdogo wangu alimaliza form 6 mwaka jana katika moja ya shule zinazomilikiwa na serikali hapa nchini,lakini cha kushangaza akapewa mkopo 0%,kutokana na uwezo wa familia yetu kuwa mdogo,tulimshauri asiende chuo asubiri hadi mwaka huu ndio aende,cha kushangaza tena mwaka huu wamemtupa kwenye group ya previous loanees na wakati dogo hajawah hata kulamba sent ya bodi!nisaidieni nin cha kufanya kumsaidia huyu ndugu yangu ili angalau nae aweze fikiriwa kwenye hiyo mikopo.asanten
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Too late brother!
   
 3. G

  Gavanor Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu,nimefuatlia sana post zako,nimeona wewe sio mtu mzuri..usipende kukatisha wenzako tamaa kiasi hiki..usijione kwamba wewe umeisha yapatia maisha kivile.
   
 4. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ulipofikia ni pagumu ila anaweza kufanikisha angalau akapata anather grade,Aende bodi ya mikopo(makao makuu tirdo,msasani Dar) na akaonane na mkurugenzi direct,najua watamsumbua ila afight ackate tamaa,amueleze huyo mkurugenzi shida yake na kama anavithibitisho ampe.naimani atafanikiwa kwani mi ninarafiki yangu alifanya hivyo akafanikiwa kuongezewa grade.lakini itachukuwa muda kidogo ili afanikiwe ila ackate tamaa
   
 5. G

  Gavanor Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa msaada wa mawazo yako mkuu.
   
 6. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
   
 7. G

  Gavanor Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  kumbe unatamani nikueleze uongo!, samahani kwa kukueleza ukweli!!.
   
Loading...