Habari zenu wakuu. Nimemaliza form four mwaka Jana. Nina bios b, Chem c, physics d, engl b Na masomo yalobaki E. Sasa niliomba ordinary dipl ya maabara na nursing. Unfortunately nimekosa. Kwa kwa kweli nimestuck sielewi nini cha kufanya as inaonesha nimekosa sababu sina pass ya math. Optn nayoiona kwa sasa ni comunity health ambayo in cheti ambayo siijui wala sielewi huko badae utafanya nini na wapi?. Pia upatikanaji wake wa ajira ukoje. Msaada wenu tafadhali wa nini cha kufanya. Asanteni