Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.


Tafuta Habari sasa kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..


Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

Habari,Video,Mziki App
f46b90633fbe5b8c4ddf66e6e0457d0c.jpg
 

Attachments

  • PhotoGrid_1447614000625.jpg
    PhotoGrid_1447614000625.jpg
    92.4 KB · Views: 488
  • PhotoGrid_1447614056782.jpg
    PhotoGrid_1447614056782.jpg
    57.5 KB · Views: 483
  • PhotoGrid_1447614104298(1).jpg
    PhotoGrid_1447614104298(1).jpg
    64.2 KB · Views: 461
  • PhotoGrid_1447614148893.jpg
    PhotoGrid_1447614148893.jpg
    74.9 KB · Views: 471
Last edited:
Felix Joseph Mchunguzi kazi yako si mbaya isipokuwa badili jina la app yako na kuipa jina lolote litalokutambulisha...

Pia kama unataka reviews kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni basi si maeneo yote ambayo mtu anaweza kupakua hiyo app...

Naona kama baadhi ya maeneo imezuiliwa...
 
Inaitwaje? Niicheki play store niipakue sasa hivi.
 
Felix Joseph Mchunguzi kazi yako si mbaya isipokuwa badili jina la app yako na kuipa jina lolote litalokutambulisha...

Pia kama unataka reviews kutoka sehemu mbalimbali ulinwenguni basi si maeneo yote ambayo mtu anaweza kupakua hiyo app...

Naona kama baadhi ya maeneo imezuiliwa...

Asante.. ndo bado naitest.. ndo nimeiruhusu kwa nchi za afrika mashaliki tu.... ila ikikaa sawa nitaweka kwenye host zenye nguvu ili niaccomodate watu wengi..
 
Back
Top Bottom