Msaada wa mawazo nimepata mchumba wa kisukuma

CUSO

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
26
Reaction score
4
Nina mpango wa kumuoa binti MSUKUMA kwani nawapenda kweli! Hivyo basi nimeamua kuwashirikisha hili ili tubainishane mabaya na mazuri kwa hawa wenzu wasukuma. Yaan kama wanafaa kuwa wake au laah, kama kupatikana kwao kuna vigezo au lah na hata sifa zinginezo! Kazi kwenu wadau!!
 
Kama unamuona yupo anaekufaa kwa jinsi unavyofahamiana nae kuanzia tabia na mengineyo au kwa kifupi kama unaona ana vigezo unavyovitaka wewe chukua jumla
 
Ili upate ushauri murua wa kukufaa, ni vema nawe ukafunguka ni kabila gani wewe! Hii itawasaidia wataalam wajuzi wa tamaduni, tabia, kasoro, n.k. vya makabila mbalimbali kukupa ushauri murua
 
Mimi navutiwa na jambo moja tu ni wazuri na weupe wa kutosha ila mengine yamejificha kwangu
 
Mimi mwenyewe ni mjaluo
 
Mimi navutiwa na jambo moja tu ni wazuri na weupe wa kutosha ila mengine yamejificha kwangu
Jitahidi uyajue hayo yaliyojificha au naweza sema yafanyie kazi kama nia ipo kweli
 
Nina mpango wa kumuoa binti MSUKUMA kwani nawapenda kweli! Hivyo basi nimeamua kuwashirikisha hili ili tubainishane mabaya na mazuri kwa hawa wenzu wasukuma. Yaan kama wanafaa kuwa wake au laah, kama kupatikana kwao kuna vigezo au lah na hata sifa zinginezo! Kazi kwenu wadau!!

971077_387264384717215_183968765_n.jpg
 
co wa2ku2 kwa kitanda.
kuna mmoja nilimpata mwaka juz yaan yeye n kukung'ang'ania na aaashiiiii..., uuwiiii....., na haaaa......! mpaka gemu inaisha
 
Niletee huyo binti unayehisi unampenda nimfanyie SWOT Analysis ndo nitakuambia kuhusu hao Wasukuma.
 
CC mwallu, Evelyn Salt et al!
Nina mpango wa kumuoa binti MSUKUMA kwani nawapenda kweli! Hivyo basi nimeamua kuwashirikisha hili ili tubainishane mabaya na mazuri kwa hawa wenzu wasukuma. Yaan kama wanafaa kuwa wake au laah, kama kupatikana kwao kuna vigezo au lah na hata sifa zinginezo! Kazi kwenu wadau!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom